Print Kimaya tweet on a t-shirt

@Kimaya102
#SikiaKimaya
#Tunaishi mara moja tu kwenye ulimwengu huu wa nyama, kiuhalisia machaguo uliopewa na Mungu ni mengi ukilinganisha na vipawa ulivyotumia kujikwamua kwako.
#P1
Other Kimaya tweets to print

@Kimaya102
✍🏽💻mipaka ya akili isikupe nafasi ya kuminya demokrasia ya utawala wa fikra na mitazamo yako ya mafanikio kimaisha👏🏽👏🏽

@Kimaya102
Matumaini ndicho kitu pekee ambacho kinayafanya maisha yetu yawe na maana, nyakati zetu zimakuwa zikihitaji tumaini kama fursa ya kutupeleka mbele na kuyavuka majaribu.
#Tupambane

@Kimaya102
#KimayaAnasema
#Kama huwezi kumsaidia/kuwasaidia binadamu wengine wenye shida na matatizo ambayo kwa kiasi fulani yapo ndani ya uwezo wako basi angalau jitahidi usiwaumize ama kuwafanya wenye huzuni na chuki kupitia kile umejaaliwa👍
#Kimaya🤲🏼

@Kimaya102
#SikiaKimaya
Kwenye maisha kuna machaguo makuu mawili kwenye mapambano yetu ya kila siku, uamue kukata tamaa ama upambane kufanikiwa💪💪
#mara zote chaguo sahihi linavikwazo na milima mirefu, fata hyo njia👍

@Kimaya102
#SikiaKimaya
#Tunaishi mara moja tu kwenye ulimwengu huu wa nyama, kiuhalisia machaguo uliopewa na Mungu ni mengi ukilinganisha na vipawa ulivyotumia kujikwamua kwako.
#P1