NAMNA YA KUPATA FOLLOWER TWITER??? ? Kwanza heshimu twiti za kuinuana ? Ukiona twiti za kuinuana like, retweet ? Mwisho unashusha handle yako ? Mwisho kabisa uwe unalike zile handle walizo weka wenzako na kuzireply FB (Follow back) Aya leteni hizo handle sasa ????