Print Donald Dinywaschwa posts
Also find cool posts on Popular Posts collection page , or check our Latest Posts flow

Donald Dinywaschwa
@ChingaMimi
Daima wanaokupenda ni wengi kuliko wanaokuchukia. Usitumie muda mwingi kuhangaika na wachache wanaokuchukia. Katika uhai wako si rahisi ukutane na 1% ya watu duniani(watu mil 70). Hivyo,zaidi 99% ya watu duniani hawakujui na hawakuchukii. Hangaika na wakupendao na kukutakia mema!
3
24
