Print Kimaya tweet on a t-shirt

@Kimaya102
naona kampeni ya kumuondoa Mourinho hawa UEFA wameamua kuibeba wao mana wanaona sisi mashabiki hatuiwezi.... Hii fexture itaondoka na mtu😁😅 @MwanaFA
Other Kimaya tweets to print

@Kimaya102
✍🏽💻mipaka ya akili isikupe nafasi ya kuminya demokrasia ya utawala wa fikra na mitazamo yako ya mafanikio kimaisha👏🏽👏🏽

@Kimaya102
Matumaini ndicho kitu pekee ambacho kinayafanya maisha yetu yawe na maana, nyakati zetu zimakuwa zikihitaji tumaini kama fursa ya kutupeleka mbele na kuyavuka majaribu.
#Tupambane

@Kimaya102
#KimayaAnasema
#Kama huwezi kumsaidia/kuwasaidia binadamu wengine wenye shida na matatizo ambayo kwa kiasi fulani yapo ndani ya uwezo wako basi angalau jitahidi usiwaumize ama kuwafanya wenye huzuni na chuki kupitia kile umejaaliwa👍
#Kimaya🤲🏼

@Kimaya102
#SikiaKimaya
Kwenye maisha kuna machaguo makuu mawili kwenye mapambano yetu ya kila siku, uamue kukata tamaa ama upambane kufanikiwa💪💪
#mara zote chaguo sahihi linavikwazo na milima mirefu, fata hyo njia👍

@Kimaya102
#Nafasi ya kufanikiwa kwako ni kubwa sana kiuhalisia, isipokuwa njia umechagua ndizo hasa zinachelewesha malengo yako.
Una nafasi na muda mchache sana wa kutimiza malengo yako kisha uache jina kwa ukoo na jamii yako.
#SimamaNaMungu👏🏼🙏🏼
#P2

@Kimaya102
naona kampeni ya kumuondoa Mourinho hawa UEFA wameamua kuibeba wao mana wanaona sisi mashabiki hatuiwezi.... Hii fexture itaondoka na mtu😁😅 @MwanaFA